Monday, March 22, 2021
AFRO KWANZA ya Kwanza Production EP1 Machi 13, 2021
Karibu kwenye show ya muziki wa kiAfrika ikiandaliwa na Mussa Yusuph kutoka Mtwara Tanzania.
Kipindi hiki hukujia kila Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki.
Tusikilize kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment