Tuesday, December 23, 2008

J.K.Nyerere, Dodoma - Tanzania 1995

Da Subi anakuletea hotuba ya Marehemu Baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipozungumza na WanaCCM mwaka 1995 katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi huko Dodoma (nadhani ilikuwa ni Chamwino) kwenye mchakato wa kumtafuta mgombea wa kiti cha uraisi kwa tiketi ya CCM, Mwalimu alisema mengi unayoweza kuyapata kwa kubofya hapa

Asante Da Subi

No comments: