International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDAFriday, January 9, 2009

Ni Mama na Mwana

Kila siku "majamvi" yanazidi kuboreka. Na kila siku anakuja aliye na mpya ama iliyoboreshwa zaidi na kila siku ni ya manufaa kwa "bloggers" Ninaburudika kumwalika mwingine jamvini humu ama niseme kuwaalika wengine. Ni Mama na mwana kama waonekanavyo hapo lakini ni zaidi ya hapo. Wana mengi mema ya kushiriki katika mijadala na uelimishaji. Pia salamu na kumbukumbu mbalimbali. Bofya hapa uwatembelee kuona ujio wao.
Karibuni Mama na Mwana

No comments: