Tuesday, January 20, 2009

A NEW DAY: Toka Frederick Douglas mpaka Barack Obama

Safari ya rais wa anayechukua madaraka siku ya leo nchini Marekani yaonekana kama ilianza miaka miwili iliyopita alipoanza kampeni zake, lakini ukweli wa harakati za kumfanya mtu mweusi kupata nafasi aliyoipata Barak Obama zilianza miaka mingi iliyopita. Mtandao wa MSN umeweza kuweka majina ya wale wanaoaminika "kumsafishia njia" Mhe Barack mpaka kupata nafasi ambayo leo anaiapia rasmi. Na hapa chini ni watu hao kumi kuanzia Frederick Douglas mpaka Mch Jesse Jackson. Habari na picha zote zapatikana hapa

1: Frederick Douglass: Many of you may immediately associate Douglass with his groundbreaking book, My Bondage and My Freedom, but did you know that Douglass was our nation’s first African-American vice-presidential candidate? He ran alongside Equal Rights Party candidate Victoria Woodhull, the first woman to run for president in the United States. They didn’t win, but their political aspirations inspired many.

2: Hiram Revels: Barack Obama owes a lot to Hiram Revels. Known as a great orator, Revels was the first African-American appointed to the United States Senate when Mississippi’s state legislature voted 81 to 15 to send him to Washington in 1870.

3: Joseph Rainey: Unlike Revel, who was appointed to the Senate, South Carolinian Rainey was the African-American elected to the United States Congress and was the African-American to sit in the House of Representatives, which he did for nine years. Not too shabby, eh?

4: Booker T. Washington: With the founding of the Tuskegee Institute, Washington provided a great education for countless African-Americans. He eventually became known as the most powerful African-American in the nation and, for his efforts, became the first African American to receive an invitation to dinner at the White House.

5: Martin Luther King Jr: Do we really need to explain MLK’s inclusion? This man, one of the most respected civil-rights leaders in history — if not the most respected — helped break down the nation’s color barrier and set the course for a more inclusive American dream. Without him, well, it’s likely Obama never would have made it to the primary. Or, for that matter, the Illinois state Senate!

6: Thurgood Marshall: Thurgood Marshall rose to fame for winning case after case before the Supreme Court, including 1954’s seminal Brown vs. Board of Education, which desegregated schools. A little more than a decade later, Marshall would become the high court’s first African-American jurist.

7: Robert C. Weaver: Weaver left an indelible mark on Washington when, in 1966, he became the first African-American to hold a Cabinet-level position. Weaver served as Lyndon Johnson’s Secretary for Housing and Urban Development, which was created that very year.

8: Douglas Wilder: The first African American to be elected as governor of a state (Virginia), serving from 1990-1994.

9: Colin Powell: Powell was the first African-American to serve as Secretary of State, but he was the first — and so far only — black man to serve on the Joint Chiefs of Staff.

10: Jesse Jackson: Jesse Jackson and Barack Obama may have had their political differences in the past, but it can certainly be argued that Jackson’s 1984 campaign for the Democratic presidential nomination — and, also, his 1988 efforts — helped lay the groundwork for Obama’s historic election.

Hakika ni siku mpya kwa wenye tumaini jipya na mtazamo mpya wa jamii ya waMarekani. Msikilize Luciano alipoimba A NEW DAY .

4 comments:

Koero Mkundi said...

Najiuliza, hivi nifanye jambo gani ili siku ya leo ibaki kuwa kumbukumbu, katika maisha yangu.

Juzi nilikuwa nasoma kitabu cha Martin Lutha king, miongoni mwa hotuba zake, nimeipenda hii:

"I have a dream that one day every valley shall be exalted, every hill and mountain shall be made low, the rough places will be made straight and the glory of the Lord shall be revealed and all flesh shall see it together.I have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the color of their skin, but by the content of their character."

hata mimi I have a dream, kwamba ipo siku idadi ya wanablog wa kike itaongezeka ili kusema madhila yao hadharani.

Mzee wa Changamoto said...

Asante Koero. Lakini pia ukishamaliza kuota jitahidi kutendea kazi ndoto ili zipate kuwa kweli.
Naona ndoto zako zinaelekea kutimia nikiamini kuwa ni kwa sababu na kinamama wanaona kile mfanyacho nao kupata chachu ya kuanzisha blogs zao
Blessings

Unknown said...

habari Mkuu, nimepita kupata maarifa kidogo,

Ahsanteb kwa kutuhabarisha.

Ujumbe wa Koero umenigusa.

Anonymous said...

Thnx for ur comments ni kweli bro kinchi kidogo kinafanya kitakavyo dunia nzima wanakiogopa, hata nchi kubwa duniani haziwezi kufanya hivyo anyway tumefurahi kupata mwafrika mwenzetu na wa esat africa uraisi wa marekani mungu ampe nguvu zaidi na kumsaidia Obama katika kazi yake hii amin