Wednesday, February 11, 2009

Politicts / Politrix. Anaapa nini na anasema nini baada ya kiapo?Ni njaa ya madaraka ama anasimamia nini? Anaapa nini na kuahidi nini mele ya "mkuu wake wa kazi" na kisha anasema nini pembeni? Ana wafuasi wangapi na ni wangapi watamuelewa analozungumza?
Namzungumzia Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe ambaye amekula kiapo cha utiifu kwa mkuu wake Robert Mugabe na kisha kwenda kongea na wananchi na kutoa kauli nyingine za ajabu. Si nagerekebisha na kutoa yale ya utiifu aliyoapa kuyafanya kabla hajala kiapo? Kweli kila kitu kina "tricks" na hii ya kwenye siasa ni politrix.
Bofya hapa kuangalia ripoti hii na uangalie alichosema mwishoni wakati akiongea na wanahabari kuhusu nafasi yake ya uwaziri mkuu na kujiunga kwake na Rais Mugabe

2 comments:

Koero Mkundi said...

Hawa ndio viongozi wetu wa afrika.......

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

I hate politics and politicians!!! do u love any?