Pengine si habari kubwa katika yaliyotokea wiki hii huko nyumbani, lakini si ya kupuuzia pia kama ikiangaliwa undani wake. Nazungumzia habari zilizoenea kwamba Serikali yaridhia utoaji mimba. (Bofya hapa nilipoisoma).
Najiuliza kama SERIKALI imeona kuwa kuna umuhimu wa kulifikiria na hata kulihalalisha hili maana sijawahi kusikia mgongano wa mawazo juu ya umuhimu wa kuwa na ama kutokuwa na uhalali wa kutoa mimba nchini. Lakini nimesema sijawahi kusikia na hii yaweza kutokana na habari nifuatiliazo. Lakini sasa ni kwamba SIONI UMUHIMU WA KUANZISHWA KWA ITIFAKI HIYO INAYORUHUSU UTOAJI MIMBA.
Na hapo ndipo ninapomkumbuka mfalme wa Reggae Africa LUCKY DUBE ambaye aliwahi kuimba kuhusu tatizo hili. Aliimba kuhusu hawa MASHUJAA WADOGO. Aliimba mengi na zaidi kuwaeleza kinamama kuwa walio kwenye meza na ofisi si wenye uwezo wa kuwaokoa hawa watoto, bali ni kinamama.
Msikilize hapa anapoimba katika wimbo huu LITTLE HEROES aliouweka katika albamu yake ya VICTIM.
Msikilize huku ukisoma mashairi.
Little heroes, go down the drain day by day
Future leaders they go down the drains day by day
They cry so loud yeah but the whole world is not listening
Only you the mothers of the world
Can save the children
There' s a lot of things to be legalized yeah
But abortion is not an
Important thing here
How can you have a face of an angel
And let the devil inside of you take control
We tired of hearing these little voices crying out
From far away saying

Chorus:
Mama why do you destroy me
Mama what have I done to you x2
I deserve to live like anybody else
We all come in this world
Not knowing where we gonna go
We all come in this world
Not knowing where life is
Gonna take us
Give them a chance in life
We' re all taking our changes here
Life, life, life the greatest gift of all
I see the government officials sitting around a table
There' s a law they gonna pass
Only you the mothers of
The world can save the children
Women' s leagues
All over the world
Fighting for women' s liberation
But who fights for
The children' s liberation
We are tired of hearing
These little voices saying
Chorus till fade

**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.
IJUMAA NJEMA
1 comment:
hodi tena nataka kusema tu asante kwa yote na nimerudi salama. na ni kweli kabisa.
Post a Comment