
Kama kawaida nashukuru kuwa watu wanavyozidi kusoma majamvi ndivyo wanavyotambua kile na pale wanapoweza kuchangia.
Namleta kwenu Dada DIGNA ABRAHAM ambaye amefungua blog yake kuhusu vijana. Waweza kumtembelea kwa ku-bofya hapa .
Karibu sana D
"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self." Cyril Connolly (1903 - 1974)
1 comment:
Yah! karibu sana Digna Tupo pamoja.
Post a Comment