Saturday, April 9, 2011

Happy Birthday Brothers

Miaka hiyoo
Hivi karibuni.
Miaka inakwenda kwa kasi saana. Na nakumbuka mengi mema tuliyowahi kushiriki tukiwa pamoja. Japo utotoni hatukuweza kushiriki mengi kwa pamoja, lakini kwa hakika kwa muda ambao tumekuwa pamoja imekuwa ni BARAKA kuwa na kaka kama ninyi. Natambua umbali baina yetu unaweza kuwa kigezo kingine cha kutoweza kushirikiana katika kila ambalo tungeweza. Lakini nawapenda na nawaombea saaana. Naamini mnaendeleza masomo kama ambavyo tumepanga na najua kwa nia na juhudi mlizoonesha, nyota njema itawawakia siku chache zijazo.
Nami nitakuwa msaada katika kila jema mtakalo na nitakaloweza.
Nawapenda saana maKaka na siku njema ya kukumbuka kuzaliwa kwenu.
Taswira hizo hunikumbusha mengi sana juu yetu. They take me back in time. Msikilize Innocent Galinoma akikumbusha aliyoyakosa utotoni. NAWAPENDA

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nami nawatakia hao akina kaka HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA.

na pia nachukua nafasi hii na kusema pasaka njema kaka na familia nzima pia.

Evarist Chahali said...

Nawatakia heri katika siku yao ya kuzaliwa.Pasaka njema pia.

Ivo Serenthà said...

Are your brothers? a beautiful family, congratulations!!

Unfortunately, the earthquake casu many casualties and much destruction, which was made possible by the responsibilities of developers, have built houses with savings of concrete and iron, even though that land is at risk of earthquake.
The basket was legendary, that sin is not valid.

Happy holidays, Marlow

Fredy Njeje said...

Happy Birthday To Brothers Mungu Awape Maisha Marefu zaaidi

Tanzania Online Internet Radio said...

Kwa niaba ya Tanzania Online Internet Radio Tunawapa Hongera sana vijana kwa Siku yao ya kuzaliwa

Umabe arts Company said...

Hongereni sana Vijana kwa siku yenu Mungu awape maisha Marefu zaidi...Timu Nzima Ya Umabe Arts Company

Yasinta Ngonyani said...

Nawatakieni kila la kheri kwa siku yenu ya kuzaliwa hata kama nimechelewa siku moja. HONGERENI SANA.