Friday, May 1, 2009

Them, I & Them.. LUCKY DUBE.........Victims

Maisha yetu yanazidi kutumomonyoa wenyewe ambao tayari tumekuwa waathirika wa migawanyo na utumwa mwingine wa kiakili ambao umepandikizwa baina yetu. Tumeyaona haya yakiendelea na zaidi yanaendelea kutufanya tusione umuhimu na kuwaheshimu watu kwa kuwa ni watu bali twawaheshimu kwa kuwa wanaonesha kuwa na kitu. Nilisikitishwa saana na habari iliyoandikwa katika blog ya Prof Matondo juu ya UBAGUZI WA RANGI TANZANIA (bofya hapa kusoma) niliishia kujiuliza maswali mengi juu ya nini kinachowafanya waTanzania wenzetu kuwabagua watu ambao walistahili kupewa kipaumbele katika huduma wahitajizo. Si wahudumu hawa pekee, bali hata viongozi wetu wa SERIKALI KUU wameonekana kuwekeza juhudi katika kusaka na kuweka sera bora kwa wawekezaji wa nje badala ya kuwawezesha wawekezaji wazawa kuelewa mbinu, usahihi na namna nzuri, ya uhakika, yenye manufaa na iliyo bora kuwekeza nchini.
Ndio maana naungana naye Lucky Dube leo katika wimbo wake VICTIMS na hasa pale aliposema "Eventually the enemy will stand aside and look while we slash and kill our own brothers, knowing that already they are the victims of the situation."
Msikilize na / ama kumuangalia hapa chini huku ukifuatilia mashairi yake katika wimbo wake Victims ulio katika albamu yake Victims
Bofya hapa chini kumsikiliza

Ama hapa chini kuangalia video yake

Didn, t know she was crying
Until now as she turns to look at me
She said boy o' boy you bring tears to my eyes
I said what, she said
Boy o' boy you bring tears to my eyes
Bob Marley said
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look
But little did he know that eventually,
the enemy will stand aside and look
While we slash and kill our own brothers
Knowing that already
They are the victims of the situation


Still licking wounds from brutality
Still licking wounds from humiliation
She said all these words and the
Wrinkles on her face became
Perfect trails for the tears and she said;

Chorus: (x3)
We are the victims everytime
We got double trouble everytime


She took me outside to the churchyard
Showed me graves on the ground
and she said;
There lies a man who fought for equality
There lies a boy who died in his struggle
Can all these heroes die in vain
While we slash and kill our own brothers
Knowing that already they are the
Victims of the situation

Still licking wounds from brutality
Still licking wounds from humiliation

Chorus till fade


**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.
IJUMAA NJEMA

3 comments:

Born 2 Suffer said...

Hasara sana kupotea huyu jamaa waliomua dawa yao ni kunyongwa, Kweli kizuri hakikai nyimbo zake nazipenda sana anayozungumzia ni ya maana na ya kweli kabisa.

Yasinta Ngonyani said...

Yah, kwa kweli inasikitisha sana tena sana.

Koero Mkundi said...

nahisi kama vile hajafa!!!!!