Tuesday, May 5, 2009

5 usiyoyajua kuhusu meno yako


Tunatumia meno kwa mambo mbalimbali, lakini kuna mambo ambayo wengi hawatambui kuhusu mambo mengine ambayo wengi kuhusu afya ya meno yao. Mtandao unaojishughulisha na masuala ya Afya wa WebMD unaeleza mambo mengine matano ambayo tunapaswa kuzingatia kuhusu meno yetu. Kusoma zaidi, bofya hapa. Pia wanaeleza mambo mengine 15 ya kuzingatia kusaidia kukata harufu mbaya ya kinywa. Waweza kujisomea hayo kwa kubofya hapa.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kutunza meno ni jambo muhimu tena ni jambo muhimu kuliko vyote. Ikibidi acha hata kununua nguo nenda kwa daktari wa meno.Mmh Asante kwa somo hili na haya mambo matano

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Yasinta, vipi huko nyumbani ambako mtu anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kwenda kwa daktari wa meno? Mjomba wangu (miaka 80+) alikuja hapa tukampeleka kwa daktari wa meno - ofisi nzima wakaitana kuja kuona meno ya mtu ambaye hajawahi kwenda kwa dentist. Jamaa hakuwa na cavities wala nini na walimsafisha tu basi. Mazingira pengine nayo yanachangia - kokakola kila siku, vyakula vitatu n.k. meno yanaoza.