Thursday, June 25, 2009

KILA LA KHERI Martin Kolikoli & HasheemThabeet

Martin Kolikoli. Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
Hasheem Thabeet
Moja kati ya matukio makubwa ya kimichezo yanayoendelea hapa Marekani wiki hii ni kupatikana kwa wachezaji wapya watakajiunga na mchezo wa kikapu wa kulipwa katika ligi ya Taifa NBA. Na kama ilivyo miaka yote, tukio hili (ambalo wachezaji husika hupanda na kushuka thamani kama soko la hisa)linafika ukingoni leo ambapo mmoja wa wachezaji wa vyuo mwenye thamani ya juu ni mTanzania Hasheem Thabeet. Lakini pia yupo mchezaji Martin Kolikoli ambaye ameingia kwenye Draft hiyo.
Kwa Pamoja tunapenda kuwatakia kila la kheri katika mchakato huo ili wapate timu zitakazowakuza kimchezo na wao kuwa NYOTA NJEMA kwa chipukizi wengi na jamii kwa ujumla
KILA LA KHERI KWENU MARTIN na HASHEEM
Video toka ESPN.COM

No comments: