Wednesday, June 17, 2009

Simanzi ya Moyo. (Filamu)Msanii Soud Ally anakuja na Sinema mpya (SIMANZI YA MOYO) iliyotengenezwa katika kiwango kikubwa itakayo tikisa tasnia ya sinema nchini kwetu….Soud Ally amesema Sinema hiyo ambayo amewashilikisha wasanii wakumbwa nchini kama Jacob Steven (JB), Ndumbangwe Misayo (Tea), Ahmed Ulotu (Mzee Ulotu), Adam Kuambiana, Sonia Sabu, Kabturado na Shenaiza.
Soud amesema Sinema ya Simanzi ya Moyo itakuwa sokoni Tarehe 22-06-2009. Kwa mawaliano zaidi, mtafute kupitia nambari 0713 413 277

No comments: