Saturday, June 13, 2009

Tuwakaribishe wana-Iringa.

Kaka Shaban O.S Kondo wa kibaraza cha PUNTERVERDE
Kaka Allen S Phillip anayeblog katika ALLEN SEAN PHILLIPS
Kaka Agape Msumari wa blog ya VIVA AFRIKA
Picha toka bloguni kwao (bila idhini). Lol
Kama kawaida ya CHANGAMOTO YETU, tunapenda kuwakaribisha barazani ndugu zetu watuhabarishao kutoka "makati" ya Iringa. Hawa ambao wote ni wanahabari wa Ebony Fm, wanaongeza list ya wana-blog na kuwepo kwao tunaamini kutatupa mengi kutoka Iringa na jamii yetu kwa ujumla.
Karibuni sana na kwa kuwa mwajamvika toka Iringa, wacha niwakaribishe kwa Reggae hii toka huko huko iliyoimbwa naye Innocent Nganyangwa iitwayo SEGHITO. Kama huelewi maana yake basi msake mwenyeji akujuvye.
BLESSINGS

2 comments:

Simon Kitururu said...

Karibuni Wajameni!

Yasinta Ngonyani said...

Karibuni sana wadugu!!