Sikiliza wimbo huu wake Lucky Dube ambao unaimba kwa umakini kuhusu hali hii. SIKILIZA TAFADHALI
Friday, July 3, 2009
Born to suffer???????????
Sikiliza wimbo huu wake Lucky Dube ambao unaimba kwa umakini kuhusu hali hii. SIKILIZA TAFADHALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Lucky Dube nyimbo zake zote ni nzuri anazungumzia maneno mazuri mimi nazipenda sana, We are born to suffer say aireee.
Wengi watasema ni sababu ya wazazi kutowalea wazazi wao kikamilifu. Lakini kwa mtazamo wangu nadhani ni kwa sababu vijana na watoto wengi wanadanganya kwenda mjini kuna kazi nzuri. matokeo yako ndo hayo
Inasikitisha
Bila mkakati wa kuhakikisha kwamba watoto kama hawa wanapatiwa elimu ni wazi kwamba Tanzania inakoelekea si kuzuri. Cha ajabu ni kwamba hata watoto wenye wazazi - lakini masikini- muda si mrefu hawataweza kujipatia elimu (ya juu). Usipojenga mashule basi jiandae kujenga magereza!
Post a Comment