FFU wa Ngoma Africa band! wakiwa katika makamuzi ya hatari hatari! kwenye onyesho la AFRILU Festival mijin Ludwigshafen,Ujerumani, ambako onyesho hilo la ijumaa ,liliwatia kiwewe washabiki na kukubali kuwa "Bongo Dansi" la FFU wa Ngoma Africa ni virungu vya kimataifa
Wasikilize hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica
Habari na picha kwa hisani ya Msemakweli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment