Tuesday, February 9, 2010

Ilivyokuwa........

Wenzetu waliposafisha mazingira yao, wakairundika hapa. Utadhani napita katikati ya kuta za barafu. Na wanasema kesho mchana tutegemee futi na nusu zaidi ya hiyo tuliyonayo.
Twasubiri
Na ilivyonihenyesha (Anza 04:50).


Blessings

3 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Nimesikia kwamba nyingi inakuja. Kazi pevu mnayo!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

heri yenu.

huku ilikuwa ukame, jua kali lakini halina noma wala nini
sasa ni mvua mpaka mafuriko, barafu labda kwenye JOKOFU!

Simon Kitururu said...

On the positive MKAO:

Hali hii inasaidia sana kurudisha mahusiano ya watu YAWE NI MAHUSIANO YA WATU nyumbani.

Kuna mtu hii hali itamsaidia kupewa mimba, kuongea na wanawe, kukumbuka kusafisha nyumba, kupitia albamu ya picha ya zamani , kushona chupi iliyochanika asiyotaka kuitupa , .....


- vyote ikiwa ni kujaribu TU kukwepa kwenda nje KWENYE BARIDI kuhangaika nayaliyokutoa jasho kwenye baridi MZEE WA CHANGAMOTO, - nje jokofuni.