Saturday, October 2, 2010

NIMEUPENDA MCHAKATO HUU

Ni mchakato wa jimbo la Kigoma Kusini.
Moja kati ya mchakato uliyohusisha wagombea wawili lakini wenye UPEO na SERA.
Nimependa KUJIAMINI kwa wagombea na TAKWIMU alizonazo mgombea wa NCCR-MAGEUZI.
Nimependa zaidi swali la mwanamama mwishoni mwa sehemu ya pili
Nimeupenda saana
Shukrani za dhati kwa Kaka Kennedy Kimaro anayezibandika HAPA na pia kwenye ukurasa wake wa youtube hapa

No comments: