Friday, March 11, 2011

Kwa NDUGU zetu wa Japan......POLENI


"We shall be alright. DON'T YOU CRY.
Cause Jah shall wash away all the tears from my eyes. In time when the storms and the tides are raging high. WE KNOW WE SHALL WIN and WE KNOW WE WILL SURVIVE. JAH SHALL WASH AWAY ALL THE TEARS"

4 comments:

Albert Kissima said...

Nami nitumie nafasi hii kuwapa pole wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine wameathirika na janga hili ama kwa kuwapoteza ndugu zao(Mungu azilaze roho zao wote waliopoteza maisha mahala pema peponi)au kwa kupata ulemavu, majeraha na hata vitu vyao kuharibika ama kupotea.

Simon Kitururu said...

Poleni wajameni!

Rachel Siwa said...

Nami niungane nanyi kuwapa poleni sana!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mungu Awashike mkono na kuwabana katika mbawa zake za upendo.

Watu wa Japan na Watanzania wenzetu mlioko Japan - POLENI SANA !!!!