Tuesday, May 24, 2011

Maonyesho ya ndege (taswira & video)

Ulinzi ulikuwepo wa kutosha tu.
U2S Dragon. Ndege inayoruka mpaka futi 70,000 kutoka usawa wa bahari. Mara mbili ya umbali urukwao na ndege za kawaida. Rubani katika ndege hii huvaa mavazi maalum kujikinga na mionzi ya jua na joto.
Haka kanaruka bila rubani. Na bado kanafyatua mizinga. Yaaani
Hili lidege la ki-rusi. Na chini ni "landing gear" yake ya nyuma.
KISHA......

Hizi ndege ni za kundi linalojiita Geico Skytypers na wanaandika maneno angani kwa kutumia moshi wa ndege. Tazama baadhi ya waliyoandika TENA KWA UFASAHA
Hiyo ni moja ya injini nne za ndege ya C-5M Galaxy. Ambayo kama anavyozungumza rubani wake hapa chini, inatumia paundi elfu ishirini za mafuta kwa saa moja iwapo angani.....
TAZAMA HAPA CHINI NILICHOJARIBU KUREKODI KWENYE VIDEO

7 comments:

Albert Kissima said...

Kaka, nimependa sana, natamani ningekuwepo huko nishuhudie mwenyewe. Hii ya kuandika maneno fulani angani kwa kutumia moshi wa ndege, imeniacha mdomo wazi; ajabu ya kweli.

Rachel Siwa said...

Nami nimevutiwa zaidi hiyo yakuandika maneno!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mhhhh
maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

mbikwita ebyo

emu-three said...

Mhhh, kweli wenzetu maonyesho ya teke-la kukujia, sisi maonyesho ya `kukatika..kukatika'...mauno kwa sana

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Duh! kaazi kwelikweli

Unknown said...

Yaani, ninachowaza: Ni nini kilichowafanya wawe na MIDEGE kama hiyo na inayotumia mafuta "MeNgi" kiasi hicho. LENGO LAO!!.

Inaleta raha kutizama tukio lote.

NEW WORLD ORDER walivyojipanga kuitimiza...!. UPO.

Israel Saria said...

Safi sana kwa kutuelimisha...Love it!!