International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDASunday, September 11, 2011

Jinsi ya kuchangia maafa ya Mv Spice Islander

Ujumbe wa makampuni kwa wateja wao ili kuchangia mfuko wa Zanzibar kwa maafa ya MV Spice Islander:
ZANTEL: Tuma neno ZNZ kwenda 15580. Utatozwa Tsh 200/= kwa kila SMS. Ili kuchangia zaidi, tuma sms nyingi zaidi.
TIGO : Tuma neno HELP kwenda 15741. Utatozwa Tsh. 400 kwa kila SMS. Ili kuchangia zaidi, tuma sms nyingi zaidi.

Zikipatikana taarifa nyingine zaidi za jinsi ya kuchangia, basi zitaongezwa kwenye chapisho "post" hii.

source: wavuti.com

No comments: