Thursday, September 22, 2011

Upendo kwa nchi

UPENDO KWA NCHI ni jambo TATA SANA. MJINGA yule ANAIPENDA SANA NCHI YAKE kiasi kwamba hataki iingie kwenye machafuko, hivyo ANAVUMILIA UPUMBAVU wa mtawala wake. MTAWALA yule ANAIPENDA SANA NCHI YAKE kwa kuwa anafanya atakalo, ANAIBA ATAKAVYO na HAKUNA WA KUMUWAJIBISHA. Najua viongozi wetu wanaipenda Tanzania. Hata kama wanaipenda kwa kuwa HAWAWAJIBISHWI KWA MATENDO YAO.
Nawaza kwa sauti tuuu!!!

3 comments:

PoeL Jurnal said...

hi my bro,,nice to know your blog..that's many information for me..

i like posted ur photo about news..please visit my blog on ww

Yasinta Ngonyani said...

"Upendo kwa nchi" nimekuwa najiulza mara nyingi hili neno lina maana gani au ndio usemi tu...ni wazo nzuri na la kufikirisha...

anu narayan said...

visit
www.stepsentertainment.blogspot.com