Tuesday, September 27, 2011

Yaliyojiri DICOTA 2011 (Sehemu ya tatu)

Kama nilivyosema siku ya Jumatatu, tunaendelea na muendelezo wa matukio, hotuba, mahojiano na mambo mbalimbali yaliyojiri kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Na sasa nakuletea UTENZI WA UHURU pamoja na hotuba ya Balozi Donald Yamamoto na hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe Bernard Membe
KARIBU


4 comments:

Emmanuel Sulle said...

Kaka Mubelwa Aksante sana.
Mimi hii poem sijui nini kwa kiswahili ilinifurahisha sana

Simon Kitururu said...

Asante Rasta Mubelwa kwa kutupigia krosi yaliyojiri!

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.

Ahsante
Luiham Ringo.

Nefertiti said...

Let me think out loud like you do....
Mhhh... Hivi kuna mtu ambaye alitulia na kufikiri juu ya hilo bango kama linaleta maana nzuri au la - Mnamnakiri vipi Rais wa nchi nyingine katika kusherehekea uhuru wenu??? Nampenda sana Mandela ...ila nampenda zaidi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa na Quotes nyingi za maana na zinazoendana na siku ya Uhuru wa Tanganyika.

Like I said... Just thinking out loud and wondering how poor we can be...... Revering others even in celebrating something as profound as our own unique UHURU!!!