Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na Bwn. Ernest Kessy. Mmiliki wa kampuni ya Metro Tire innayofanya shughuli zake jiji la Baltimore, jimbo la Maryland hapa nchini Marekani katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya, na ushauri kwa waTanzania wanaopenda kuanzisha biashara lakini wakasita sababu ya kutokuwa na uhalali wa vibali vya kuishi nchini
Karibu uungane naye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment