Saturday, April 28, 2012

Semina ya Mwl. Christopher Mwakasege Washington DC Metro

Unakaribishwa kwenye semina ya neno la Mungu itakayofanyika siku ya alhamis, Mei 24 katika eneo la chuo kikuu cha Maryland.
Katika semina hiyo, pia kutakuwa na huduma ya kusifu na kuabudu kutoka kundi linaoundwa na muunganiko wa wanamuziki wa injili wa hapa Washington DC Metropolitan.
Tazama zaidi tangazo hili

No comments: