Tuesday, July 3, 2012

Ana kwa Ana ya Mhe. Waziri Membe na bloggers wa Washington dc

Sehemu ya kwanza ya mahojiano kati ya bloggers wa Washington DC na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Bernard Membe (MB) Katika sehemu hii amezungumzia suala la AGOA, biashara ya Tanzania ukilinganisha na jirani zetu, uraia wa nchi mbili, vitambulisho vya kitaifa na suala zima la DIASPORA KARIBU UUNGANE NA SUNDAY SHOMARI aliyewakilisha bloggers kwenye mahojiano haya..

No comments: