Friday, July 6, 2012

MISA YA MZEE JOSEPH FRANCIS KORASSA JUMAPILI JULY 8, 2012, DMV

Mzee John Francis Korassa
Kwa niaba ya familia ya Jack Korassa, tunapenda kuwataarifu Misa ya Msiba ya Baba yake mzazi Mzee Korassa itakayofanyika siku ya Jumapili July 8, saa 7 mchana (1pm) katika kanisa la The Way Cross Gospel Ministries, College Park. 
Address: 
3621 Compus Drive, 
College Park, MD 20740 
Ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio na kufika kwako ndio mafanikio ya ibada hii. Tunaomba ushirikiano wako hasa kwa kipindi hiki kigumu kwa Jack ili afarijike na kutojisikia mpweke. 
 Msiba hapa DMV unafanyika nyumbani kwa mfiwa, 
address 
17 Gas Light Court, 
Gaithersburg, MD 20879 
Kwa taarifa zaidi na Maelekezo tafadhali wasiliana na: 
Omby 240 595 5100 
Melisa- 240 305 1356 
Eva Mhina-301 204 6750 
Salome-240 440 2110 
Rehema Nambai- 301 267 3397 
Susan Malima-202906 9927 
Dick Small-202 374 9094 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na Jina lake lihimidiwe.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Marehemu na astarehe kwa amani ..

emuthree said...

Tupo pamoja, na sisi twatumbukiza dua zetu, marehemu arehemewe!