Monday, August 20, 2012

Ana kwa Ana ya mwanadiaspora Ma Winny Casey na Vijimambo

Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na
mwanamitindo Ma Winny Casey katika utaratibu wake mpya wa kuhojiana wadau mbalimbali waTanzania wanaoishi ndani na nje ya hapa Marekani.
Katika mahojiano haya, Ma Winny anaeleza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na alivyoanza shughuli za mitindo, kilichomfanya avutiwe na shughuli hizi, ni show gani anayoamini ilikuwa ya mafanikio kwake na kwanini, maonyesho yajayo na ushauri wake kwa wabunifu wanaochipukia / watakaoamua kuingia katika fani
 

No comments: