Saturday, August 18, 2012

Jumuiya ya waTanzania DC yafafanua juu ya msiba wa Domi

Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV. Bwn. Idd Sandaly 
Hii ni rekodi kutoka kwenye kipindi cha "Weekend Special" cha redio WAPO FM ambapo Rais wa Jumuiya ya waTanzania waishio katika viytongoji vya Washington DC (DMV) Bwn. Idd Sandaly amefafanua baadhi ya mambo ambayo yalizungumzwa na familia ya Marehemu Domitian Rutakyamirwa aliyefariki na kurejeshwa nyumbani kwa maziko. Maelezo haya ni ufafanuzi wa maelezo ya kufafanua kutoka katika POST HII ambayo ina kipindi cha awali.
Ungana na mtangazaji Anthony Joseph kuweza kusikiliza ufafanuzi wa Rais na Jumuiya
Karibu usikilize.
 

No comments: