Saturday, September 15, 2012

Hotuba kamili ya Mhe. Freeman Mbowe kwa waTanzania wa Washington DCFreeman Mbowe akihutubia waTanzania
Sehemu ya umati uliohudhuria ukifuatilia hotuba ya mwenyekiti wa chama Mhe. Freeman Mbowe 

Photo Credits: Abou Shatry wa Swahilivilla Blog
Hotuba kamili ya Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe alipokutana na waTanzania waishio Washington DC na vitongoji vyake jioni ya Sept 1, 2012.
Msikilize

1 comment:

Mbele said...

Ndio kwanza nimemaliza kuisikiliza. Ni hotuba ya iliyojaa fikra na ni ya kizalendo. Nimeipenda.