Saturday, December 1, 2012

Historia ya UKIMWI duniani

Tunapomalizia kuadhimisha SIKU YA UKIMWI DUNIANI, swali ni kwamba ni kweli tunachokiongea chajulikana kwa wengi? Na watatwezaje kutuelewa kama hawatambui Histori ya Ugonjwa huu na ama wanatambua tofauti kidogo na tutambuavyo sisi? Hebu angalia HISTORIA YA UKIMWI na kutambua mengi ambayo twahitaji kujua juu ya hilo.
Ni kutoka mtandao unaojihusisha na masuala ya matibabu wa WebMd.
a

No comments: