Tuesday, January 29, 2013

Hotuba ya Mhe Mwanaidi S Maajar kwa kinamama

Hii ni hotuba iliyotolewa na Mhe Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi Sinare-Maajar alipokuwa akiwaaga waTanzania katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa kinamama wa hapa Washington DC Karibu umsikilize.

No comments: