Friday, January 18, 2013

Walivyoanza na walivyopambana na "magumu" yao

Joseph Kusaga akizungumzia Clouds Fm.
Ulijua kuwa CLOUDS humaanisha Cool, Lovable, Outrageous, Unique, Dynamic Sound?
MsikilizeMsikilize Catherine Hughes
Mwanamama aliyeanzisha Kampuni ya Radio One inayomiliki zaidi ya vituo 53 nchini Marekani
Mwanamama huyu amelala sakafuni ili kampuni yake isifilisike. Unajua "magumu" aliyopitia kabla hajafanikiwa?
Msikilize


1 comment:

Halil Mnzava said...

Binafsi nimejifunza jambo hapa.