Monday, May 20, 2013

Ana kwa ana ya Mr. Abdallah Kitwara na VIJIMAMBO

Karibu katika mahojiano kati ya blog ya Vijimambo na Rais wa VIZION ONE Inc. Bwn. Abdallah Kitwara
Katika mahojiano haya, Bwn. Kitwara anaeleza historia yake kwa ufupi, shule alizosoma na kilichomshawishi kufungua kampuni hiyo ya Vizion One Inc.
Pia, anaeleza ni sababu gani zilizosababisha kutumia jina VIZION yenye "Z" badala ya "S"
Mbali na Vizion One, Inc. ana kampuni gani nyingine hapa Marekani na Tanzania?
Nini siri ya mafanikio ya kampuni yake?
Anauchambua vipi "UTUMWA WA KISASA" hapa Marekani?
Anazungumza kuhusu kampuni zake zilizopo Tanzania na ushauri wake wa Watanzania na Vijana wanaotaka kutuata nyayo zake
UNGANA NAO
 

No comments: