Friday, May 24, 2013

IBADA YA KUMUAGA MARTIN NGIREU KESHO

Familia ya Ngireu inawataarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa misa na kumuaga marehemu Marehemu Martin Ngireu (pichani juu) itafanyika kesho Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 10 jioni (12-4pm)
Misa hiyo itafanyika
 313 Talbot Avenue, 
Laurel, MD. 20707
 Baada ya misa, kutakuwa na kutakua na chakula kwenye address 210 Patuxent Road, Laurel MD 20707

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inafanywa.
Kama ilivyodesturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu. Msiba upo 210 Patuxent Road, Laurel MD 20707.
Tafadhali tenga muda wako kufike na kuwapa pole watoto wa marehemu Carol na dada yake waliokuja kutoka Tanzania na California. 
Msiba huu ni wetu sote DMV tafadhali tujumuike na tuwafiriji wafiwa. Kushirikiana na kushikamana kwa shida na raha ndio staili na maisha yetu DMV. 
Kwa maelezo na maelekezo tafadhali wasiliana na Mtoto wa Marehemu Carol 301 957 4523.
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

No comments: