Tuesday, May 21, 2013

TBC....Oneeni huruma kodi zetu basi!!!

Yaani hata mnapoambiwa mara tatu na zaidi bado ham'badili tovuti yenu tuuuuuuu!!!
Ina maana makusanyo yote hayo mpatayo hamuwezi kuwa na mtu wa IT?
Ukisoma utaona maelezo kwenye ukurasa huu nilioubandika hapa chini yanasema Taji Liundi ni mkuu wa Idhaa japo alikaririwa akisema kuwa alishatoka TBC
Maelezo hayohayo yanasema watazindua kituo 2009 japo ukurasa ulikuwa updated 2010
Ngoja niwanukuu nisipoteze uhondo "It is proposed that the official launch of TBC International to be January 1 2009. 
COMING SOON 
Last Updated ( Friday, 05 November 2010 03:35 ) "
NAWAPENDAJE TBC??????

2 comments:

emuthree said...

Duuh, IT mpo wapi?

sebastian said...

hata mimi nashindwa elewa