Tuesday, June 11, 2013

Ana kwa Ana ya Vijimambo na Dj Dennis Shengena

 Mwanadiaspora Dj Dennis Shengena amepata wasaa wa kuketi na kulonga na mwenzetu Dj Luke wa Blog ya Vijimambo ambapo ameelezea mambo mengi ikiwemo maisha yake kwa ufupi, kama alishawahi kupiga muziki wa Club Tanzania na wapi anapopiha hapa nchini Marekani
Je? ni nini kilimleta Marekani na uhusiano wa jina lake la ubini na wenye mabasi ya Shengena 
Kawa wazi juu ya Dj "enzi" zake huko Tanzania aliyekua akifurahishwa na kazi zake, pamoja na mambo mengi 
UNGANA NAO UWASIKILIZE


No comments: