Friday, February 28, 2014

Ana kwa Ana ya Jamii Production na Dr Wilbrod Slaa



Jamii Production imepata fursa ya kipekee kuhojiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa Hii ni sehemu fupi ya mahojiano haya yaliyodumu kwa dakika 90
Lakini pia msikilize alivyozungumzia kesi ya mwekezaji aliyedhulumiwa mali zake katika jimbo la Karatu ambalo yeye (Dr Slaa) alikuwa mbunge kwa miaka 15

1 comment:

MswahiliFlani said...

Kuelimisha zaidi Usahihi wa vikra ndio fikra sahihi!!