Tuesday, September 10, 2013

Mvutano Wa Marekani Na Urusi (DK 90 ZA DUNIA Capital Radio)

Bahati Alex wa Capital Radio Dar (L) na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC (R)
Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania.
Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 7, 2013

No comments: