Sunday, September 8, 2013

Ndugu wa ADUBO M. OMAR wanatafutwa. Mwili wake uko chumba cha maiti tangu AUG 26, 2013


Mtanzania Adubo M. Omar yupo Montuary Dallas Texas nchini Marekani tangia Aug 26, 2013 Frank Maji ambaye ametuletea habari hizi amesema Marehemu alishawahi ishi miji ya Cedar Rapids na, Des Moines iliyopo Iowa nchini Marekani kabla hajahamia Dallas, Texas ambako mauti ilimkuta taarifa ilizidi kusema marehemu alizaliwa April 25, 1956 kama kuna yeyote anayemfahamu marehemu tafadhali wasiliana na Frank Maji kwa barua pepe fmaji@hotmail.com au simu 214 674 6666 Sikiliza mazungumuzo kuhusu marehemu kati ya Vijimambo na Fank Maji hapo chini

No comments: