Saturday, October 19, 2013

Msiba Washington DC na Tanzania

FAMILIA YA NETO NA KATE INASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA BABA MZAZI WA NETO; MZEE PETER MWIMBWA ULIOTOKEA IJUMAA OCTOBER 18 NCHINI TANZANIA. 
TARATIBU ZA MAZISHI  ZINAFANYIKA NCHINI TANZANIA.
KAMA ILIVYO DESTURI YETU WATANZANIA, KUPEANA POLE NA KUFARIJIANA NI KAWAIDA YETU.
KWA HAPA MAREKANI MSIBA UKO FREDERICK, MARYLAND NYUMBANI KWA NETO NA KATE.
Anwani ni
1301 BAKER PLACE EAST #21
FREDERICK MARYLAND 21702.
KWA  MAWASILIANO PIGA SIMU:
NETO: 240 367 2234
KATE: 240 350 7283

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Alex Kassuwi wa SWAHILI TV 

No comments: