Monday, November 18, 2013

Ana kwa Ana ya MwanaF.A na Vijimambo Blog

Mwanamuziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo Hamis Mwinjuma ama Mwana FA leo Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani.
Je! yeye ni mfuasi wa Freemason?
Ana mchumba? Na kama anaye mchumba wake ni nani na lini wataoana? 
Anamkubali nani zaidi kati ya Ali Kiba na Diamond?
Na mengine mengi
MSIKILIZE

No comments: