Monday, November 18, 2013

Kipindi maalum: Mazishi ya Bi.Martha Shani Tanzania toka SwahiliTv

Swahili Tv yawaletea kipindi maalum cha mazishi ya Bi. Martha Shani aliyefariki ghafla nchini Marekani na kuzikwa nyumbani Tanzania.
Katika Kipindi hiki utaona matukio mbalimbali katika safari ya mwisho ya Bi. Martha Shani

No comments: