Luteni Rajabu Ahmed Mlima Enzi ya Uhai wake
Familia ya Mlima inawataarifu kisomo cha mtoto wao Luteni Rajabu Ahemed Mlima(mdogo wake Mayor Mlima anayeishi DMV) kitakachofanyika leo (Jumamosi November 2, 2013) Wheaton Maryland kuanzia saa 11 jioni.
Usomapo taarifa hii tafadhali mueleze na jirani yako.
Usomapo taarifa hii tafadhali mueleze na jirani yako.
Anwani ya kisomo ni
11901 Claridhe Rd,
Wheaton, MD 20902
Kufika kwako ndio mafanikio ya kisomo hiki
KARIBUNI
No comments:
Post a Comment