Friday, November 29, 2013

MHE. JANUARY MAKAMBA kuwa mgeni rasmi TANZANIA UHURU NIGHT Washington DC

 MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATAUNGANA NA RAIS MUSTAAFU ALI HASSAN MWINYI KWENYE SHEREHE YA UHURU CALIFORNIA
Kutokana na hilo, Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba atakuwa mgeni rasmi hapa Washington DC.
 tiketi zinapatikana online au Piga simu kwa Dj Luke 301 661 6696,  Dj Seif  202 286 6595 na Baraka Daudi 301 792 8562 
Hawa ndio watakaopendezesha Uhuru  Bar
Kristina                             Sonia                                        Nina
Uhuru Red Carpet

VIJIMAMBO Blog inakuletea TANZANIA UHURU NIGHT siku ya Jumamosi December 7, 2013 Ukumbi wa
THE FRIENDSHIP CENTER, 9055C 
Maier road, Laurel, 
MD 20723 
Kutokana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula kuungana na Rais Mstaafu Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi katika Sherehe za California, Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba atakuwa mgeni rasmi hapa Washington DC
Ni usiku wa Uhuru wa Tanzania, kula, kunywa mpaka unasaza kwa $60 tu na muziki ni mpaka asubuhi nunua tiketi yako mapema nafasi za kukaa ni watu 200 tu na 
Mimi ni mtanzania, natoka Tanzania, nchi yangu Tanzania, MIAKA 52 ya UHURU wa TANZANIA.
TANZANIA UHURU NIGHT Itaanza saa 12 jioni (6pm) kwa COCKTAIL

Tega sikio tutazidi kuwajuza mambo mazuri yakayojiri siku hii ya Tanzania Uhuru Night


ALL YOU CAN EAT AND DRINK ALL NIGHT FOR $60 ONLY

KARIBUNI WOTE

No comments: