Thursday, February 13, 2014

USIKOSE CONFERENCE CALL.......leo saa 2 usiku

Leo, Alhamis Feb 13, 2014, waTanzania waishio nchini Marekani wanakaribishwa katika mkutano wa kwenye simu (teleconference) utakaoanza saa mbili kamili usiku huu.
Jamii Production ilikuwa katika mahojiano na Dr Patrick Nhigula ambaye aligusia kuhusu mkutano huu

No comments: