Saturday, March 21, 2015

Ibada ya Kumbukumbu na Shukrani ya maisha ya Marehemu Wilbard Kente DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.
Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.
Abba Genes akisoma somo.
Jerminr Shelukindo akisoma somo.
Henry Kente akitoa neon la shukurani.
Henry Kente akimwongoza dada yake Mamertha kuwasha mshumaa.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 
 
 


No comments: