International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDAMonday, August 31, 2015

Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

IMG_9991
Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015.
IMG_9954
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo.

 IMG_9952
Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada. IMG_9956
Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto. IMG_9975
Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo.
IMG_9977
Bi.Aireen na wanawe katika ibada.
 IMG_9988
Katibu Dan Stephen akitoa matangazo. IMG_9998
Bw.Patrick Kajale akitoa mwaliko wa Tamasha la Kiswahili "Swahili Fest". IMG_9995
Empress Elinita Mhando na mwanae Ernest Simba Shomari wakiwa kwenye ibada.
 IMG_0015
Bw. na Bi. Shomari wakiwakilisha.
 IMG_9986
Brian akitwanga kinanda.
 IMG_9981
Mdogo wa Brian akiwa kwenye ngoma.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments: