Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo. |
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi. |
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza katka mkutano huo. |
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Job Lusinde akizungumza katika mkutano huo. |
Kada wa Chama cha Mapinduzi na mgombea Ubunge katika jimbo la Simanjiro,Christopher Ole Sendeka akihutubia katika uzunduzi wa kampeni za Ubunge katika jimbo la Vunjo. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akikimbia mara baada ya kuitwa Jukwaani. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akipokea kifimbo kutoka kwa wazee wa Mila ,mbele ya kada wa Chama cha Mapinduzi,Christopher Ole Sendeka. |
Kada wa Chama cha Mapinduzi,Christopher Ole Sendeka akimtambulisha mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima mbele ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hizo. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akizungumza wakati wa uzunduzi wa kampeni katika jimbo la Vunjo. |
Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzunduzi wa mkutano huo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment