Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. |
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema,Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi. |
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael akiomba kura . |
Baadhi ya wafuasi na wananchi waliofika katika mkutano huo. |
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimumbea kura mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Ngangamfumuni,Anthony. |
No comments:
Post a Comment