Saturday, April 17, 2021

255 Info Package ya Kwanza Radio EP04 Aprili 4, 2021

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio inapatikana online saa 24. Tusikilize kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Pia unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Garden http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

No comments: